Proffesion training

Proffesion training

Agiza mzigo kutoka Marekani bila shida yoyote sasa

Agiza mzigo kutoka Marekani bila shida yoyote sasa
Gonga Tangazo hili kupata habari zaidi kutoka kwenye ukurasa wetu wa facebook

Manyase Investment Company

Manyase Investment Company
GONGA tangazo hili kwa habari zaidi kwenye ukurasa wetu wa facebook

manyase investment

manyase investment
Gonga picha hii kupata habari zaidi

Nunua saa nzuri toka Marekani

Nunua saa nzuri toka Marekani

Sunday, April 13, 2014

mafuriko ...mafuriko

Maeneo mbali mbali katika nchi ya tanzania yameendelea kukubwa na matukio makubwa ya mafuriko ndani ya siku hizi mbili.
Lakini hali ni mbaya zaidi katika jiji la Dar baada ya maeneo mengi kuonekana kuharibiwa vibaya na mafuriko, hata hivyo inatarajiwa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi kama mvua hizi zitaendelea kunyesha.


Wednesday, April 9, 2014

Karibu Kwenye kibanda changu maasai market iringa

Karibuni  Ofisini kwangu... nipigie simu yangu kwa msaada zaidi 0759 344 407
 Safina.Jewellerystore&Curio Shop
Naipenda kazi yangu....
 Kuwa mrembo kiasili zaidi....

Tuesday, April 8, 2014

Monday, April 7, 2014

Tubadilike jamani......

Na Haji Omar
Wakati serekali, pamoja na wadau mbali mbali wakifanya jitihada za kufufua vipaji vya michezo mbali mbali ili taifa litambulike kwenye medani za michezo hiyo.
Ila hali imekuwa tofauti sana kwa mkoa wa Iringa kwani uharibifu ambao umefanyika kwenye uwanja huo siku ya tamasha la Tulizana hauwezi kufurahiwa na mdau yoyote wa mpira.
Kwani kwa muda usio pungua miezi sita uwanja wa Samora ulikuwa umefungwa kwa ajili ya kutengeneza sehemu ya kuchezea kwa kupanda nyasi mpya na ulikuwa umesha kaa vizuri kiasi lakini nguvu hizo zimeonekana kutokuwa na maana yoyote kwa kuwa wasimamizi wa uwanja huu wameonyesha kuwa hawakuwa makini kwenye kutoa maelekezo ya jinsi gani uwanja huu unapaswa kutunzwa.