Na Haji Omar
Wakati serekali, pamoja na wadau mbali mbali wakifanya jitihada za kufufua vipaji vya michezo mbali mbali ili taifa litambulike kwenye medani za michezo hiyo.
Ila hali imekuwa tofauti sana kwa mkoa wa Iringa kwani uharibifu ambao umefanyika kwenye uwanja huo siku ya tamasha la Tulizana hauwezi kufurahiwa na mdau yoyote wa mpira.
Kwani kwa muda usio pungua miezi sita uwanja wa Samora ulikuwa umefungwa kwa ajili ya kutengeneza sehemu ya kuchezea kwa kupanda nyasi mpya na ulikuwa umesha kaa vizuri kiasi lakini nguvu hizo zimeonekana kutokuwa na maana yoyote kwa kuwa wasimamizi wa uwanja huu wameonyesha kuwa hawakuwa makini kwenye kutoa maelekezo ya jinsi gani uwanja huu unapaswa kutunzwa.
No comments:
Post a Comment