CALL: 0713 22 89 92
Tanzania Today
(What happens here and all around the world)
Proffesion training
Nunua saa nzuri toka Marekani
Friday, April 18, 2014
Sunday, April 13, 2014
mafuriko ...mafuriko
Maeneo mbali mbali katika nchi ya tanzania yameendelea kukubwa na matukio makubwa ya mafuriko ndani ya siku hizi mbili.
Lakini hali ni mbaya zaidi katika jiji la Dar baada ya maeneo mengi kuonekana kuharibiwa vibaya na mafuriko, hata hivyo inatarajiwa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi kama mvua hizi zitaendelea kunyesha.Wednesday, April 9, 2014
Karibu Kwenye kibanda changu maasai market iringa
Karibuni Ofisini kwangu... nipigie simu yangu kwa msaada zaidi 0759 344 407
Safina.Jewellerystore&Curio Shop
Naipenda kazi yangu....
Kuwa mrembo kiasili zaidi....Tuesday, April 8, 2014
Monday, April 7, 2014
Tubadilike jamani......
Na Haji Omar
Wakati serekali, pamoja na wadau mbali mbali wakifanya jitihada za kufufua vipaji vya michezo mbali mbali ili taifa litambulike kwenye medani za michezo hiyo.
Ila hali imekuwa tofauti sana kwa mkoa wa Iringa kwani uharibifu ambao umefanyika kwenye uwanja huo siku ya tamasha la Tulizana hauwezi kufurahiwa na mdau yoyote wa mpira.
Subscribe to:
Posts (Atom)